ALIYEWATAPELI WATALII DOLA 5000 AKAMATWA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inamshikilia Omwailimu Sosthenes ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Utalii ya  Arise Special Sunrise,kwa tuhuma za kuwatapeli watalii wawili Dola za kimalekani 5000. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, DCP Liberatus Sabas, amesema mtuhumiwa huyo aliwatapeli watalii hao ambaye mmoja anaishi Marekani na mwingine nchini India kwa makubaliano kwamba angewapeleka safari ambazo walizipanga. Amesema baada ya mtuhumiwa huyo kuwatapeli wageni hao aliwatelekeza katika nyumba ya wageni maeneo ya Sinza na walipojaribu…

Soma Zaidi >>

Tundu Lissu atoa ujumbe mzito kuhusu afya yake

Kupitia ukurasa wake wa mtandao, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye anapatiwa matibabu nchini Ubeligiji aliandika; “Wapendwa wangu natumaini wote hamjambo asubuhi hii (angalau kwangu ni saa 12 kasoro ya asubuhi). Nawaomba msamaha kwa kuwaweka roho juu jana halafu sikuonekana. Nilipata wageni na by the time nimemalizana nao muda ulishaenda sana. Naomba nianze kwa kuwapa briefing ya afya yangu. Wengi wenu mtakuwa mmeona video clips nikifanya mazoezi ya kutembea. Clip hizo zinaonyesha naendelea vizuri na ni kweli. Operesheni ya mwezi uliopita imepona, angalau kwenye muscles. Mfupa bado una kazi…

Soma Zaidi >>

Kangi Lugola alivyomzuia Kamishina wa Magereza kuingia kwenye mkutano wake

Kamishina wa Jeshi la Magereza, Dk Juma Malewa amezuiwa kuingia kwenye mkutano wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola baada ya kuchelewa kwa dakika mbili kuingia kwenye ukumbi ambako mkutano huo ulifanyika. Waziri huyo ambaye aliingia kwenye ukumbi majira ya saa 4:51 asubuhi ambapo mara baada ya kuingia aliagiza kwamba ikifika saa 5:00 mtu ambaye atakuwa hajaingia ukumbuni hataruhusiwa kuhudhulia kikao chake isipokuwa waandishi wa habari. Ilipofika saa 5:00 aliagiza mlango ufungwe na usifunguliwe kwa mtumishi yoyote wa wizara wala Kamanda yoyote kuingia labda awe mwanahabari. Ambapo…

Soma Zaidi >>

MH:JOSEPH HAULE MBUNGE WA MIKUMI, AILILIA NYUMBA YAKE BAADA YA KUBOMOLEWA.

“Mimi ni mmoja wa wahanga wa hili zoezi la kubomolewa nyumba zetu huku Mbezi Kimara Tarehe 29/9/ 2017. Jana nikiwa katika majukumu jimboni Mikumi Majira ya saa kumi mbili hivi jioni, nilitaarifiwa kwamba, watu wa Tanroads wakiwa wameambatana na grader mbili na magari mawili ya polisi (defenders) yenye askari waliokuwa na silaha mbalimbali za moto walikuwa wanabomoa nyumba yangu. (sijawahi kuumia kiasi hiki Nimesikitishwa sana jinsi Tanroads wanavyoweza kujichukulia maamuzi bila ya kujali mhimili muhimu wa Mahakama wametoa maagizo gani. 🤔 Na taratibu zilizotumiwa kubomoa nyumba yangu bila ya mimi…

Soma Zaidi >>

TUTEGEMEA KUIONA BARCELONA KATIKA LIGI KUU YA UINGEREZA MSIMU UJAO??

Na: Pasco Nkololo. Imeripotiwa kwamba klabu za Barcelona, Espanyol na Gerona zinaweza kujiunga na ligi ya uingereza, italia au ufaransa endapo mpango wa kura ya maoni ya wananchi wa Catalunya utafanikiwa na kuifanya Catalunya kujitenga na nchi ya Spain. Mtandao wa Goal.com umemnukuu waziri wa michezo wa Catalan bwana Gerald Fegueras akieleza namna vilabu kutoka Catalan vitakua na nafasi ya kuchagua ligi ya kushiriki endapo hawataridhishwa na mazingira ya Catalan katika kipindi hiko cha mpito. Kura hiyo ya maoni ya wacatalan kujitenga na Uhispania inatarajiwa kupigwa mapema siku ya jumapili…

Soma Zaidi >>

DIAMOND PLATNUMZ ATOA SABABU ZAKUUITA WIMBO WAKE MPYA ”HALLELUJAH” NA KUJITOA ”VEVO”

Mwanamuziki Diamond Platnumz amelitolea ufafanuzi suala la mtandao wa YouTube na Vevo baada ya kuzuka sintofahamu kuhusiana na chaneli hizo mbili za kurushia nyimbo za wasanii. Katika maelezo yake pia ametoa sababu za kuuita wimbo Hallelujah alioutoa juzi usiku. Wimbo huo uliowekwa saa 38 zilizopita umetazamwa na watu milioni1.6 katika mtandao wa YouTube. Diamond amesema licha ya kujiunga na mtandao wa Vevo, aliamua kuachana nao kutokana na masuala ya maslahi kutomridhisha. Amesema kulinganisha YouTube na Vevo kwa mtu anayejua masuala ya mitandao ni sawa na kulinganisha baba na mtoto. “Vevo…

Soma Zaidi >>

WIZKID AWAKERA MASHAKIBI WAKE LONDON

Wakati Staa kutoka Nigeria Wizkid Ayo, akitengeneza rekodi kubwa ya kuwa msanii wa Kwanza Barani Afrika kujaza mashabiki katika ukumbi wa Royal Albert Hall huko jijini London, Unaambiwa kwamba jamaa Alichelewa kuingia stejini kwa muda usiopungua masaa mawili. Ishu hiyo imepelekea baadhi ya mashabiki kumshangaa Wizkid katika siku yake ya Kihistoria kama hiyo na kushindwa kufanya show kwa wakati. Nikuchane tu mwana Darmpya ni kwamba Ukumbi wa Royal Albert Hall unabeba jumla ya watu 5,544 na wakati anamaliza show yake hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo alisema kwamba hatua yake…

Soma Zaidi >>

KENYA: ASKARI POLISI AUA KISHA KUJIUA NAYEYE PIA.

KENYA: Askari Polisi amemuua mkewe kwa risasi kichwani na kisha kujiua mwenyewe mbele ya mtoto wao ambaye anadaiwa kusikika akilia kwa sauti “Baba anamuua Mama.” . Mashuhuda wamesema walisikia kelele za watu wakilumbana, na walipokuwa wakikimbilia kujua kulikoni walisikia milio ya risasi na kisha kukawa na ukimya. OCPD wa Nakuru Joshua Omukatta amesema wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, huku miili ya marehemu wote ikiwa imepelekwa katika Hospitali ya Serikali ya Nakuru.

Soma Zaidi >>

FLAVIANA MATATA KUWAIMBISHA KISERA NA SEDUCE ME, SWIZZ BEAT NA FABILOUS. DIAMOND PLATNUMZ NA MWANA FA, WASALIMIWA.

Producer mkongwe wa muziki nchini Marekani, Swizz Beatz ameingia rasmi kwenye fashion na jana kwa kushirikiana na kampuni ya Switzerland, Bally na msanii wa Hispania, Ricardo Cavolo amezindua nguo, viatu, mabegi, kava za simu, sandals, majaketi za bidhaa zingine kibao. Uzinduzi huo ulihudhuria na mastaa kibao akiwemo Flaviana Matata na hapo ndipo palikuwa patamu. Flavy amepost video za event hiyo ambao miongoni mwa nyimbo zilizochezwa ni pamoja na Seduce Me ya Ali kiba… Na Kisela ya Vanessa Mdee. baada ya hapo Flavy alisalimiana na mke wa Swizzz Beat, Alicia Keys,…

Soma Zaidi >>