SIKIO KUTUMIKA KUFUNGUA NA KUFUNGA SIMU KAMA ILIVYO KWA KIDOLE. (EAR PRINT)

Tafiti iliyofanyika kwenye chuo cha Michigan, nchini Marekani imesema baada ya mazoea ya watu wengi kuweza kufunga simu zao kwa kutumia finger print, sasa watu wataweza funga na kufungua simu zao kwa kutumia masikio yao , yaani Ear print.

Tafiti hiyo inasema kuwa mtu tapaswa kudownload application iitwayo ERGO kwenye simu yake ili aweze kupata uwezo huo kwenye simu yake, kwa kufunga na kufungua simu kutumia simu yake.

Yote hayo bado yapo kwenye matengenezo ya mwisho, na kwa sasa vyote vipo kwenye mfumo wa demo.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.