FURSA YA AJIRA KWA WALIOSOMEA TAALUMA YA HABARI

Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetangaza nafasi kwa watanzania wenye taaluma ya habari. Nafasi zilizotangazwa ni pamoja na:

  1. Mtangazaji (Programme Presenter) nafasi 6
  2. Mhariri (News Editor) nafasi 2
  3. Mzalisha Vipindi (Programme Producer) nafasi 2

Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 19 2018 saa 9: 30 alasiri.

Soma tangazo hapa chini:

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.