Dubai yazindua jengo refu zaidi duniani lenye ghorofa 75

Jana Jumapili Februari 11, 2018 Dubai iliendeleza desturi yake ya kuwa na majengo marefu zaidi duniani, kwa kuzindua jengo lingine la Gevora Hotel Towers.

Jengo hilo linakuwa la kwanza duniani kwa urefu kutokana na kuwa na ghorofa 75 na urefu wa mita 356 kwenda juu.

Hata hivyo, rekodi ya jengo refu la hoteli duniani ilikuwa inashikiliwa na Dubai yenyewe ambapo jengo la hoteli la JW Mariott Marquis ambalo limezidiwa mita moja tu na jengo jipya la Genova Hotel ndio lilikuwa linashikilia rekodi hiyo.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.