CHADEMA KANDA YA NYASA KUKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ,IRINGA NA TUNDUMA

WAKATI kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata tatu kati ya tano za Manispaa ya Iringa zikitaraji kuanza huku Tunduma chadema wakilalamika mchakato wa uchukuaji na urejeshaji fomu chadema kanda ya Nyasa kuzungumza na wanahabari.

Katika taarifa iliyotolewa na chama hicho jioni ya Leo inasema mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ataongozana na katike kanda kueleza mengi kinachoendelea.

Mkutano huo umepangwa kufanyika mjini Iringa na undani wa nini kimejiri usikose kutembelea mtandao huu wa DarmpyaBlog.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.