CCM KILOSA WAPITA BILA KUPINGWA KATA MBILI

Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kimefanikiwa kupita bila kupingwa katika kata mbili zilizowekewa pingamizi awali .

kwa mujibu wa Luciano Mbosa ambaye ni kitengo cha uchaguzi mkoa wa Morogoro ndani ya CCM ,kuwa CCM imeshinda kufuatia ushindi wa pingamizi zilizowekwa na wagombea wa chadema

Mbosa amezitaja kata hizo kuwa ni Zombo na Magomeni.

Hata hivyo alisema mkoa wa Morogoro ni kata tatu ndizo zilipaswa kufanya uchaguzi mdogo ila kwa sasa wamebaki na kata moja ya Namwawala wilaya ya Kilombelo ndiko uchaguzi utafanyika .

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.