SHANTELL-05

Na Pastory Raymond Waliingia kwenye gari huku John akiwaangalia. Hakuamini anachokiona. Shantell ni mwanamke wa aina gani alizidi kujiuliza? Ziko wapi sifa alizomwagiwa na mama yake ambaye alikuwa akidai kuwa Shantell alikuwa ni binti aliyetulia! Alihitimisha kuwa Shantell hakuwa ametulia badala yake alikuwa akimzuga mama yake wakati wote. Aliendesha gari kwa hasira na hatimaye alifika nyumbani. “John, nini shida baba?” Lilikuwa ni swali la kwanza Mrs Williams alilomuuliza baada ya kugundua kuwa mwanaye hakuwa sawa. “Mum can you imagine? Shantell amekutana na Kendrick Jumamosi iliyopita na leo amekuja kumchukua?” alisema…

Soma Zaidi >>

SHANTELL-04

Na Pastory Raymond Hivi ananionaje? Ni swali aliojiuliza. Anataka nini? Hajui kama leo ni weekend. Hakuchukua muda mrefu kujiandaa. Baada ya kujiridhisha yupo vizuri aliita Taxify na haikumchukua muda dereva kufika. “Habari yako” Shantell alimsalimu dereva alivyokuwa akiingia kwenye gari. “Nzuri!” Aliitikia dereva yule ambaye alikuwa mzee wa makamu lafudhi yake ilimtambulisha kuwa alikuwa Ni mtu wa mwambao. Kanzu yake rangi nyeusi ilionekana kuwa ya gharama sana. Vidoleni alikuwa ametapakaa pete. Pete ambazo zilionekana nazo kuwa ni za gharama. Akiwa bado anamshangaa simu yake iliita na alipoitazama aligundua mpigaji ni…

Soma Zaidi >>

SHANTELL-03

Na Pastory Raymond Inaendelea…. Walikuwa wanaangaliana sasa. John Marwa alikuwa amemlanda mama yake sana. Alionekana kuathirika sana na maisha ya Ughaibuni na muonekano wake ulisadifu haya. “Oh I see her mum” Alimjibu mama yake Huku akiendelea kuchezea simu yake kana kwamba hakujali ujio wa mtu huyu aliyekuwa ameitwa ili aweze kutambulishwa. “Nyinyi wawili mtakuwa mkifanya kazi kwa pamoja and I have a lot of expectations na nyinyi! Sawa Shantell?!” “Nimekuelewa madam!” “John?!” “Whatever…” Huku akiendelea na simu yake. Shantell alitoka ofisini mule. Kichwani mawazo yamemjaa! Ataweza kufanya kazi na chekibobu…

Soma Zaidi >>

SHANTELL-02

Na Pastory Raymond Ilipoishia….. Angesahauje mshtuko alioupata baada ya kujigundua mjamzito baada ya Mghana huyo kumkimbia? Angesahauje jinsi alivyojaribu kuitoa mimba ya Shantell na asiweze? Na Leo anamuona akiwa amemeea kama shina la mgomba. Tunda la mwanaume pekee aliyewahi kumpenda na kuwa naye mpaka sasa akiwa na umri wa miaka Arobaini na kenda. Inaendelea…. Mwanamke huyu wa makamo aliyekuwa mbele yake aliivua miwani yake na hivyo kuyafanya macho yake yaweze kuonekana na kumpa mawazo ya kuwa siku zilizopita mama huyu alikuwa kisu kikali kilichokata mioyo ya wanaume wengi. Shantell alikuwa…

Soma Zaidi >>

UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA VICHEKESHO VYA MWANTUMU

Msimu mpya wa vichekesho maarufu vya Mwantumu ambavyo huonekana kupitia chaneli ya DStv ya Maisha Magic Bongo unaanza rasmi JumanneOktoba 16,  huku vikiwa vimeongezewa manjonjo ili kuwahakikishia watazamaji na mashabiki wake burudani isiyo na upinzani.  Vichekesho hivyo vinavyoongozwa na mchekeshaji maarufu nchini Lucas Mhuvile maarufu kwa jina la kisanii JOTI ambaye kwenye vichekesho hiviamevaa uhusika wa watu watatu tofauti ; Mzee Mrisho, Kaboba na Mwantumu Sahare,  vimekuwa ni moja wa vipindi vinavyotazamwa sana nakupendwa na maelfu ya watu hapa nchini ambapo huonyeshwa kupitia chaneli maarufu ya Maisha Magic Bongo – DStv 160. Majina maarufu pia katikatasnia ya uigizaji na uchekeshaji yatakuwepo msimu huu akiwemo Mzee Fungafunga (Mzee Mwalubadu), Mama Abduli (Mwantumu Mcharuko), AlexWasponga(Kayombo) na wengineo wengi Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa msimu wa pili wa vichekesho hivyo, Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria amesema kuwatangu kuanza kwa msimu wa kwanza wa vichekesho vya Mwantumu mnamo Oktoba 2017, vichekesho hivyo vimekuwa na msisimko wa aina yake navimepokelewa vizuri sana na watazamaji na hivyo kuvifanya kuwa na mashabiki wengi sana.  Amesema msimu huu wa pili watazamaji wa Maisha magic Bongo na mashabiki wa Mwantumu watashuhudia mikasa ya aina yake ambapo baada ya Bahati kupata ujauzito, baba yake mzee Mwalubadu anaamua kumpeleka Kaboba katika vyombo vya sheria kwa kosa la kumpa Bahati ujauzito. Hatahivyo suala hilo linafika kwa Babu yake Kaboba mzee Mrisho, ambaye wakati huohuo hataki Kaboba apate matatizo yoyote.  Kinachotokea hapo nidrama ya aina yake itakayowaacha watanzamaji wakivunjika mbavu kwa kucheka!  “DStv kupitia Chaneli yake pendwa ya Maisha Magic Bongo, siku zote imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunatoa msisitizo kwenye maudhui yandani na vichekesho hivi ya Mwantumu ni mfano halisi. Hii ni yetu, imetengenezwa hapa tanzania na wazalishaji, waandaaji na waigizaji wote wa hapahapa nchini” alisema Alpha. Vichekesho vya Mwantumu vilianza msimu wa kwanza mnamo Oktoba 2017 Na kuendelea kwa muda wa mwaka mmoja ambapo vilikuwavikionyeshwa mara moja kwa wiki. Katika msimu huu mpya vichekesho hivyo vitaonekana mara mbili kwa wiki siku ya  Jumanne na  Jumatano  saa mojana nusu usiku. Hii itawapa fursa mashabiki na watazamaji wa Maisha Magic Bongo kupata burudani zaidi kwani kumekuwa na maombi mengi yakuongeza vipindi hivyo kutokana na umaarufu wake.

Soma Zaidi >>

CHANZO NI MAMA _SEHEM 1

Na Tuma bby Catherine ni binti ambae alikua anaishi katika familia ya kitajiri sana,Jijini Dar er Salama ambapo alikua anaishi na baba, mama na mdogo wake wa kiume ambae anaitwa Razack  alikua anasoma shule ya msingi. Hali ya maisha yao Cathe haikumfanya asijiskie kwa marafiki zake wala jamii iliyomzunguka, kila mtu alivutiwa na ucheshi wake kila wakati alionekana ni mwenye furaha na heshima kubwa. Cathe alikua ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka pili muhula wa tatu katika course ya sheria ,maisha yake yalikua ni mfano wa kuigwa na kila mtu…

Soma Zaidi >>

AISIIIII…..U KILL ME 03

Mwandishi. Eddazaria G.Msulwa (Next level Author) 0657072588   ILIPOISHIA  Mapokezi ya K2 yakanishangaza sana yalikuwa ni mapokezi ambayo ni tofauti na wanawake wote niliowahi kuwapitia kwani wengi wao waliweza kulia ila K2 akafurahi  na hii ilinifanya nione kuwa ni jinsi anavyofurahi na nimeona anavyojua kucheza katika mapenzi. Sikuona hata akibabaika. Nizungumza na K2 kwa mahaba mazito huku nikizidisha kasi katika mchezo ule. SASA ENDELEA…….. “Unajisikiaje?” K2 aliniuliza huku akinishika kifua changu kwa mkono wake wa kulia huku mkono wake wa kushoto ukiendeela kunitomasa akiashiria kunituliza nishushe presha ya mahaba niliyokuwa…

Soma Zaidi >>

AISIIIII……….U KILL ME 02

Mwandishi: Eddazaria G.Msulwa (Next level Author) 0657072588                         ILIPOISHIA            Nikaanza kufaidi raha ya mapenzi mazito kutoka kwa mama Mariam, aliyeanza kulegea kila jinsi nilivyo zidi kumpa raha ndivyo mwenzangu alivyo legea na kutulia tuli. Kitu kilicho nistua nakuogopa na kunifanya nistuke na kushuka kitandani kwa haraka huku nikimtazama mama Mariam usoni, ni kwa jinsi alivyokuwa ana tokwa na mapovu mdomoni pamoja na damu nyingi puani mwake .   ENDELEA………… Wasiwasi mwingi ukazidi kunikamata huku macho yangu nikiwa ninamtazama Mama Mariam aliyelala chali, nikahisi kuchanganyikiwa, sikajua hata nianzie wapi au nimalizie…

Soma Zaidi >>

AISIIIII……..U KILL ME 01

Mwandishi: Eddazaria G.Msulwa (Next level Author) 0657072588   Kaubaridi kakali ka asubuhi kananifanya niwe ninabingirika bingirika, kwenye kitanda changu cha sita kwa sita. Sitamani kabisa kunyanyuka kwenye kitanda changu hichi, hii ni kutokana na uchovu unaosababishwa na pirika pirika zangu za siku tano za wiki, na hizi siku mbili za mapumziko muda mwingi ninazitumia kushinda chumbani kwangu. Kiupepo cha feni kinachonipiga kwa mwendo wa taratibu, kinazidi kuongezeka zaidi na kiupepo cha mvua mvua inayo nyesha huko nje. Taratibu naanza kulipapasa shuka langu sehemu lilipo na kujifunika vizuri mwilini mwangu. Kabla…

Soma Zaidi >>