RAIS DKT. ALI SHEIN ATEMBELEA UJENZI WA JENGO JIPYA LA KIVUNGE, UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Jengo Jipya la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja. Mradi huo wa ujenzi wake katika eneo la Hospitali ya Kivunge Zanzibar, Pia katika ziara hiyo ameongoza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi. Jengo Jipya la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja likiwa katika Ujenzi wake katika eneo la hospitali hiyo.  Rais wa Zanzibar na…

Soma Zaidi >>

DC KINONDONI AFUNGA MACHIMBO YA KOKOTO BOKO KUEPUKA MAAFA

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo ameyafungia machimbo ya kokoto na kutaka vibali kupitiwa upya ili kuepuka maafa yatokanayo na uchimbaji holela uliokithiri katika wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo akikagua machimbo ya kokoto maeneo ya Boko alipofanya ziara ya kushtukiza. Amesema hayo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye machimbo mbalimbali yaliyopo maeneo ya Boko na kushuhudia uchimbaji holela usiozingatia sheria na kutaka kusimamishwa kwa shughuli zote za uchimbaji mpaka pale watumishi wa idara ya ardhi na mazingira wa wilaya yake kupitia upya vibali…

Soma Zaidi >>

SIMANZI ZA TAWALA BAADA YA MWILI WA ISAAC GAMBA KUWASILI BUNDA.

Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umewasili nyumbani kwao Bunda Mkoani Mara kwa ajili ya maziko yatakayofanyika kesho saa (5) asubuhi. Mwili wa marehemu umewasili Leo ukitokea Mwanza baada ya kuagwa Asubuhi katika viwanja vya Umoja wa vyama vya Waandishi wa Habari (UPTC) Jijini humo. Vilio na simanzi vilisikika toka kwa ndugu, jamaa na marafiki baada ya kuwasili kwa mwili wa Isaac Jambo lililopelekea wengine kuishiwa nguvu na kupoteza fahamu. Taarifa juu ya kifo cha mtangazaji huyo nguli wa…

Soma Zaidi >>

SERIKALI YAAHIDI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA NCHINI.

Serikali kupitia Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imesema Tanzania iko mbioni kupanua taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete ili kuifanya kuwa kituo bora cha Afya Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano katia ya China na Tanzania katika sekta ya afya ambapo kila mwaka madaktari na wauguzi kutoka China wanakuja hapa nchini na kukaa kwa muda wa miaka 2 wakihudumia watanzania. Aidha amewashukuru Ubalozi…

Soma Zaidi >>

RAIS MAGUFULI AMTEUA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI (NHC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt.Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Ripoti kutoka Ikulu zinasema Dkt.Sophia Kongela ni mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi nchini.(ARU). Wakati huohuo, Kufuatia uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya Mkurugenzi wa NHC uliofanywa na Mhe. Magufuli, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemteua Dkt Maulid Banyani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la nyumba la taifa. Awali kabla ya uteuzi huo Dkt.Banyani naye alikuwa mhadhiri wa…

Soma Zaidi >>

PROF. HUMPHREY AKABIDHIWA USUKANI RASMI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John  Pombe Magufuli amemteua Prof. Humphrey Moshi kuwa mwenyekiti wa Tume ya Ushindani nchini (The Fair Competition Commission- FCC). “Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Humphrey P.B. Moshi kuwa mwenyekiti wa Bodi ya ushindani“, ameandika Msigwa. Prof. Moshi amechukua nafasi ya Prof. Samwel Wangwe ambaye muda wake umekwisha baada ya kutumikia kwa miaka minne tangu mwaka 2014 alipoteuliwa chini ya serikali ya awamu ya nne na Rais mstaafu Jakaya Kikwete. Kabla ya uteuzi huo…

Soma Zaidi >>

KAMPUNI YA CHOLEMU INVESTMENT LIMITED YASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA MMOJA

Dar es Salaam Mkurugenzi wa Kampuni ya Cholemu Investment Limited inayojishughulisha na uuzaji na upimaji wa mashamba na viwanja, Peter Mayunga amesema suala la elimu kuhusu umiliki viwanja kwa vijana bado imekuwa ni changamoto nchini Tanzania. Kauli hiyo ameitoa jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa katika maadhimisho ya kutimiza mwaka moja kwa kampuni hiyo yaliyokwenda sambamba na ugawaji wa hati 11 kwa wanunuzi wa viwanja pamoja na mashambaza. Amesema kuwa, asilimia kubwa ya vijana wamekuwa na elimu ya urithi wa viwanja jambo ambalo limekuwa likivunja ndoto za vijana wengi kuweza…

Soma Zaidi >>

TBA WAPONGEZA FAMARI STORE KWA KUWAPA MAFUNZO MAFUNDI RANGI IRINGA

WAKALA wa  majengo Tanzania (TBA )  mkoa wa  Iringa amepongeza  kampuni ya  Famari  Store  kwa  kutoa mafunzo kwa mafundi rangi  wa  mkoa wa Iringa na Njombe  kuwa  yatasaidia   kuongeza  ubora wa majengo mkoani hapa . Menja  wa TBA  mkoa wa Iringa  Fazes  Tarimo ametoa  pongezi hizo jana  wakati  akifunga mafunzo ya   siku  moja  yaliyoandaliwa na kampuni ya Famari  Store  ya  mkoa  Iringa na  kuendeshwa  na  kampuni ya Slkcoat Print Co.Ltd  ya  nchini  Uturuki  kupitia tawi lake la  jijini Dar es Salaam . Alisema kuwa  mafunzo hayo  ni mazuri ya  yanakwenda …

Soma Zaidi >>

MIRADI YOTE YA UMEME VIJIJINI ILIPWE KWA BEI YA REA-DKT KALEMANI

  Morogoro. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameagiza kuwa gharama ya kuunganishia umeme wananchi kwa miradi ya umeme vijijini, iwe binafsi au ya Serikali ni shilingi 27,000 tu kama ilivyo kwa miradi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Alitoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Ofisi ya Morogoro, kabla ya kufanya ziara ya kukagua mitambo ya kuzalisha umeme ya Kidatu, kufungua Ofisi mpya ya TANESCO na kuzindua huduma ya umeme katika Kijiji cha Katurukila wilayani Kilombero. “Kwa mfano…

Soma Zaidi >>