WAJASIRIAMALI WA BURUNDI  WAIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUTATUA KERO MPAKA WA KABANGA

  Na. Dinna Maningo,Bariadi. Wajasiliamali kutoka Bujumbura nchini Burundi wameiomba Serikali ya Tanzania kutatua kero katika mpaka wa Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera ambao umekuwa kero pindi wanapoingia nchini na bidhaa zao  kwa ajili ya kushiriki katika maonyesho ya Viwanda Vidogo SIDO. Wakizungumza na mtandao wa Dar mpya kwenye maonyesho ya viwanda vidogo SIDO yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu ilielezwa kuwa maonyesho hayo yana jenga uhusiano wa kibiashara katika nchi hizo mbili. Minani Floribert ambaye ni mwana sanaa mchongaji wa vinyago alisema kuwa licha…

Soma Zaidi >>

DKT. KIGWANGALLA ATOA SWADAKA YA KUSOMESHA WATOTO 5.

  Nzega. Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini la Mkoani Tabora, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameahidi kusomesha watoto 5 wanaotoka katika mazingira magumu kila mwaka  ikiwa ni kama sadaka baada ya kunusurika katika ajali na afya yake kuhimarika baada ya kupata matibabu. Akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala  ikiwa ndiyo mara ya kwanza kuwasili Jimboni kwake na kuzungumza na wananchi tangu alipopata ajari Agost,4,2018 mkoani Manyara alisema kuwa ameamua kufanya hivyo kutokana na Mwenyezi Mungu kumponya . Dkt. Kigwangalla akiwa ameongozana na…

Soma Zaidi >>

PATORANKING KUKINUKISHA DAR LEO

Dar es Salaam Mkali wa muziki kutoka Nigeria Patrick Nnaemeka Okorie, maarufu kama Patoranking ametua bongo kwa ajili ya kufanya tamasha kubwa linalotarajiwa kufanyika leo jijini Dar es salaam. Akizungumza na wanahabari mkali huyo wa Nigeria amesema kuwa amefurahishwa kurudi Tanzania kwa mara nyingine kufanya tamasha kubwa ambalo ameahidi kufanya tamasha ambalo halijawahi kufanyika bongo na msanii wa nje. Naye mkali wa bongo fleva Chege Chigunda amewashukuru waandaaji wa Tamasha hilo kwa kumchagua yeye kuwa mmoja ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa la muziki. Tamasha hilo lililoandaliwa na Buckets…

Soma Zaidi >>

PROF.KAMUZORA: JAMII INAPASWA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI ZINAZOWAKANDAMIZA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI.

NA MWANDISHI WETU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof. Faustin Kamuzora ameiasa jamii kutokomeza mila na desturi potofu zinazokwamisha maendeleo ya wanawake na watoto sambamba na kuwapatia fursa ya kushiriki katika shughuli za maendeleo. Wito huo ameutoa Oktoba 26, 2018 wakati akifungua mkutano wa Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto uliohusisha wizara 11 pamoja na wadau mbalimbali wa masuala ya wanawake na watoto nchini walipokutana mkoani Morogoro kujadili na kupitia Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na…

Soma Zaidi >>