WHATSAPP KUACHIA TOLEO JIPYA LA WHATSAPP BUSINESSES.


Mtandao wa WhatsApp umeachiatoleojipya la WhatsApp Business ambalo limekuja na App yake maalumu kama unavyo iona kwenye picha hapa


App hiyo itakuwa na uwezo wa kuwaunganisha wafanya biashara na wateja wao kwa karibu kwa njia ya biashara zaidi.
Toleo hili litahitaji kwanza uweze kujisajili kwakujaza fomu ya WhatsApp, jina la kampuni, namba ya simu pamoja na nchi ambako kampuni inapatikana.

Baada ya hapo WhatsApp watakutumia link itakayokufanya uweze kupakua (download) App hiyo kirahisi zaidi.


Bila yakufanya hivyo hutoweza kuipata App hiyo kwakuiona PlayStore wala kuifungua.

Endelea kufwatilia tovuti yetu ili uendelee kupata madini mengi yenye ujazo wote wa teknolojia, hapa hapa kwenye DartechUpdates.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.