VIKAO VYA KAMATI YA 14 ZA KUDUMU ZA BUNGE VITAANZA JANUARI 14 HADI 27,2019.

DODOMA.

Vikao vya Kamati ya 14 za kudumu za Bunge vitaanza Januri 14 hadi 27 mwaka huu Jijini Dodoma. Aidha, kamati ya masuala ya UKIMWI, kamati za hesabu za Serikali (PAC), kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) ma Kamati za Bajeti zitaanza vikao vyake Januari 7.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.