TAARIFA ZA HIVI PUNDE:HOTEL YA WHITE SAND INAWAKA MOTO

BREAKING NEWS

HOTEL ya white sand iliopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam inawaka moto.

Katika taarifa za awali zilizo tufikia imepita nusu saa gari la zimamoto halijafika eneo la tukio.

Taarifa kamili zitatolewa baada ya uchunguzi kukamilika endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.