SIRI KUTOKA WHATSAPP.

Hi ni moja ya social network kubwa na inayotumiwa na watanzania wengi kwa matumizi ya kufikishiana taarifa na pengine kutuma nyaraka mbalimbali.

Siri ninayo kuvujishia sasa nikwamba sasa unaweza kutuma copy ya software kwa rafiki yako. Yaani unaweza kutuma games,apps na software nyinginezo zenye ukubwa usio zidi 30MB.
Kaa na nasi Darmpya uwezekupata upadates zote za teknolojia.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.