RAMBO AKANA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 16 MJINI LAS VEGAS

Nyota wa filamu duniani, Sylvester Stallone (Rambo), amekanusha tuhuma dhidi yake za kumbaka binti wa miaka 16 miaka nane iliyopita Mjini Las Vegas nchini Marekani.

Rambo alisema kuwa, madai kuwa yeye na mpambe wake walimbaka msichana huyo hayana ukweli wowote.

Gazeti la Mail liliripoti juu ya kile kinachosema ni ripoti ya polisi kutoka mwaka 1986 ambayo ilielezea madai hayo.

Taarifa hiyo ya polisi inaeleza kiwa, binti huyo hakuwasilisha mashtaka dhidi ya Stallone kwa sababu alikuwa alikuwaanaona aibu na hofu na hakuna hatua iliyochukuliwa.

Msemaji wa filamu wa Rocky alisema kuwa taarifa hiyo ilikuwa ya uongo.

Msemaji huyo Michelle Bega alielezea kuwa, madai niya uongo, akiongezea na kwamba hakuna mtu aliyejua habari hiyo mpaka ilipopchapishwa kwenye gazeti hapo jana.

Alisema kuwa, Stallone hakuwa na mawasiliano yoyote na mtu yeyote kuhusu swali hilo.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.