RAIS AFANYA MABADILIKO YA UONGOZI SERIKALINI, JERRY MURO, JOKATE MWEGELO WALA SHAVU

Jioni ya leo Julai 28, 2018, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko katika baadhi ya nafasi za uongozi serikalini.  Orodha hii hapa chini ni baadhi tu ya walioteuliwa:

Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani

Jerry Muro ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.

Patrobas Katambi ameteuliwa  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

David Kafulila ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe.

Moses Machali ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara

Lengay Ole Sabaya ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro

Daniel Godfrey Chongolo ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam.

Ally Hapi  ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa , kabla ya uteuzi huo Hapi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni.

Dr Jim Yonaz ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano.

 

Orodha kamili itakujia hivi punde.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.