POGBA AMPANGUA NEYMAR KWA ASSIST LIGI KUU INAYOENDELEA ULAYA

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Manchester united ya England Paul Pogba amerejea kuwa kinara wa kutoa assist baada ya mchezo wa jana dhidi ya Stock city.

Katika mchezo huo uliochezawa jana 15 january 2018 usiku Manchester ilibuka na ushindi wa 2:0 dhidi ya wapinzani wao, huku wafungaji wote Valencia na Martial wakipokea mipira kutoka kwa Pogba kabla ya kuiweka wavuni.

Kabla ya mchezo huo nafasi hiyo ilikiwa inashikiliwa na Mbrazil Neymar anachezea timu ya Psg, akiwa ameshirki kucheza mechi 14 na kutoa assist 9.

Mchezo wa jana baada ya pobga kutoa assist mbili na kufikisha assist 9 sawa na Neyma ila akiwa ameshiriki michezo 13 tofaut na Neyma michezo 14.

Wengne wenye idadi nzuri ya assist n Philipp max assist 9 michezo 18, Pione Sisto assist 9 michezo 19, Leroy Sane assist 9 michezo 21 na Kevin De Bruyne akiwa na assist 9 huku akiwa ameshacheza michezo 23.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.