NIYONZIMA, DILUNGA KUMALIZA MCHEZO LEO

Na Shabani Rapwi, Dar es salaam.

Klabu ya Simba SC yaweka hadharani kikosi kitakacho anza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Nyasa Bil Bullets, Haruna Niyonzima na Hassani Dilunga wakiongoza safu ya ushambuliaji, huku Wawa na Kaheza wakianzia bench.

Ukiwa ni mchezo wa kirafiki utakao pigwa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, Saa 12:00 Jioni.

1. Deogratias Munishi
2. Paul Bukaba
3. Mohamed Hussein
4. James kotei
5. Yusufu Mlipili
6. Said Ndemla
7. Mohamed Ibrahim
8. Mzamiru Yassin
9. Mohamed Rashid
10. Haruna Niyonzima
11. Hassan Dilunga

Sub
1. Said Mohamed
2. Pascal Wawa
3. Marcel Kaheza
4. Nicholas Gyan
5. Rashid Juma
6. Dickson Mhilu
7. Salimu Mkehenge

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.