MSAFARA WA MWENYEKITI UVCCM TAIFA WAPATA AJALI.

 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

Msafara wa mwenyekiti wa Uvccm Taifa, Kheri James, umepata ajali huko Meatu mkoani Shinyanga.

Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo. Tutakuletea habari kamili hivi punde….

 

 •  
 •  
 •  
 •  

Related posts

Leave a Comment