MFANYABIASHARA MKOANI TABORA AJIPIGA RISASI

Taarifa tulizozipata hivi punde zinasema kwamba Mfanyabiashara mmiliki wa kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena anayefahamika kwa jina la Sultan Ahmed amejipiga risasi.

Tukio limetoke hii leo April 11, saa tatu asubuhi akiwa nyumbani kwake huko wilayani Sikonge mkoani Tabora.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa  tukio hilo na kwamba wanafanya uchunguzi juu ya mauaji hayo.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.