JAFO ATANGAZA UKOMO WA SHULE ZA NYASI NA TEMBE NCHINI

Mapema Jumatatu ya leo Januari 29, 2018, waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jafo ametangaza ukomo wa shule za nyasi na tembe hapa nchini.

Mhe. Jafo amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri nchini kuhakikisha hakuna shule za nyasi wala za tembe katika maeneo yao.

Amesema kuendelea kuwepo kwa shule hizo ni aibu kubwa ikizingatiwa wilaya husika zina vyanzo vyake vya ndani vya mapato ambavyo vinaweza kutumika kurekebisha shule hizo.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.