SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YACHUKIZWA NA WAFANYABIASHARA

Zanzibar, Mjini. Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 11 wa Jumuiya Ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda Na Wakulima Zanzibar (ZNCCIA). Uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip iliyopo Malindi mjini Zanzibar Makamu wa pili wa Rais, Balozi Seif alieleza, Serikali makini husisitiza umuhimu wa jumuiya ya Wafanyabiashara yenye kuleta manufaa na faida kwa kufungua milango ya biashara ndani na nje ya nchi Sambamba na kuongeza wigo wa pato la Taifa, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inachukizwa na kuona watu wachache wanaigeuza sekta ya biashara kuwa kichaka cha wakwepa kodi, wala…

Soma Zaidi >>

DC HOMERA AIOMBA BENKI YA NBC KUFUNGUA TAWI TUNDURU

  Tunduru Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Juma Hamera ameiyomba National bank of commerce (NBC) ilioyopo wilayni humo kunza shughuli zake ili kukabiliana na msongomano wa wakulima kwenye mabenki. Aidha, amemshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Theobadi Sabi, na Zonal Manager kanda ya kusini, Salema na BM Tawi la Songea ndg.Simon Ntwale kwa kuridha ombi lake la kuanzisha tawi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kwa upande wake, BM tawi la Songea Simon Ntwale na Salema waliahidi kuanza ufunguzi wa akaunti kijiji kwa kijiji mara moja ndani ya siku kumi…

Soma Zaidi >>

RC MTAKA AIPONGEZA GEITA KUFANYA  MAONESHO YA KIPEKEE YA DHAHABU NCHINI

Simiyu. Mkuu wa Mkoa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewapongeza viongozi wa Mkoa wa Geita wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhandisi. Robert  Gabriel kwa ubunifu waliofanya wa kufanya Maonesho ya Kipekee ya dhahabu hapa nchini. Mtaka ameyasema hayo mara baada ya kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa Geita na kutembelea mabanda ya maonesho katika Maonesho ya Dhahabu yanayofanyika  Uwanja wa CCM Kalangalala Mjini Geita kuanzia Septemba 24, 2018. Amesema Watanzania wengi wamekuwa wakienda kushiriki maonesho ya dhahabu katika mataifa mbalimbali barani Afrika na nje ya bara la Afrika lakini kupitia maonesho haya Watanzania wameanza…

Soma Zaidi >>

WAKULIMA WA MUHOGO HANDENI KUNUFAIKA NA MASHINE MPYA ZA ZAO HILO.

  Handeni,Tanga. Wakulima wa zao la muhogo wilayani Handeni wamepokea mashine na kuzifunga katika viwanda vidogo tembezi kwaajili ya kununua mihogo na kuisindika. Akipokea mashine hizo,leo 24 september 2018,mkuu wa wilaya ya Handeni,Mh.Godwin Gondwe amesema mashine hizo zina uwezo wa kuchakata Mihogo hadi kilo elfu nne(4) na zinafanya kazi kwa saa 12,hivyo zitasaidia katika kuinua kipato kwa wakulima wa zao hilo. ” Tumedhamiria kumpa hadhi mkulima wa mihogo kutoka zao la kuganga njaa hadi zao la biashara,ambapo zao hilo litauzwa kwa shilingi Milioni nne kwa heka kutoka Shilingi laki nane…

Soma Zaidi >>

WAKULIMA WA VIAZI KATA YA KITWIRU WANUFAIKA NA ZAO JIPYA LA KILIMO HICHO

Kitwiru Diwani wa kata ya Kitwiu Baraka Kimata jana ametembelea na kuzindua uvunaji wa viazi maalum kwa ajili ya chips na usindikaji, ambapo mradi huo umefasdhiliwa na kampuni ya Sai Enegy iliyoko Katani Kitwiru kwa ushirika na Shirika la Mboga na matunda. Amesema kuwa, Bonde hilo la umwagiaji lipatalo ekari mia moja, wakulima wake hawakuwahi kulima viazi wakati wowote, kutokana na kukosa vifaa vya kufanyia mahitaji maalum katika kilimo hicho. “Wakulima hawa wamevutiwa sana na zao hili jipya kwa bonde hili na wameahidi hawawezi kuliacha kwani ni mkombozi na linalipa…

Soma Zaidi >>

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA VIJANA WA PWANI KUCHANGAMKIA FURSA ZA VIWANDA NA UWEKEZAJI MKUBWA MKOANI PWANI.

*NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA VIJANA WA PWANI KUCHANGAMKIA FURSA ZA VIWANDA NA UWEKEZAJI MKUBWA MKOANI PWANI* Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira *Mh Anthony Mavunde* amewataka Vijana wa mkoa wa Pwani kuwa mstari wa mbele kwa kuchangamkia fursa za kiuchumi kupitia rasilimali zilizopo,viwanda na uwekezaji mbalimbali unaoendelea katika mkoa huo. Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo katika Ukumbi wa mikutano wa Shirika la Elimu Kibaha wakati akifungua mafunzo ya Ujasiriamali kwa Vijana yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (**UVCCM**) Wilaya ya Kibaha,ambapo amewataka Vijana wa…

Soma Zaidi >>

NAIBU SPIKA AWATANGAZIA NEEMA WAFANYABIASHA WA MPUNGA SIDO-MBEYA.

Na Prakseda Mbulu,Mbeya. NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson Mwansansu, chini ya shirika la Tulia Trust, amesema atawawezesha kuwapatia mikopo wafanyabiashara wa mpunga katika Soko la Sido Mjini Mbeya ili kukabiliana na changamoto zinazowakabili pamoja na kuwainua kiuchumi katika kuleta maendeleo ya haraka. Amesema hayo Leo wakati akizungumza na wafanyabiashara hao, wakati alipokua akizindua ofisi yao ambapo wafanyabiashara hao wamemweleza changamoto zao kuwa ni pamoja na kukosa masoko na ufunyu wa eneo la kuanikia mpunga. Naibu spika amesema, kuhusu suala la masoko na ufinyu…

Soma Zaidi >>

BEI YA NYANYA YAPOROMOKA MBEYA.

Na Rashid Msita,Mbeya. BEI YA NYANYA YAPOROMOKA KWA KASI MBEYA, Wakulima wa nyanya Mkoa wa Mbeya wamelalamikia kuanguka kwa soko la nyanya na kupelekea kuingia hasara kubwa na kushindwa kufikia malengo yao, Masoko makubwa ya nyanya Inyala na Mbarizi (Mbeya) bishara hiyo imekua ngumu kwa mujibu wa bwana soko la Inyala Jofrey Montela amesema, kuanzia mwezi wa Febr, 2018 mpaka June tenga la debe 4 lilikua shilingi 60,000 mpka 45,000 kwa sokoni, “Ilipofiki mwezi wa August,2018 mpaka hivi sasa Sept tenga la debe 4 linauzwa sokoni shilingi 15,000 mpka 25,000…

Soma Zaidi >>

MAVUNDE AIPONGEZA SEKTA BINAFSI KWA MCHANGO WA KUKUZA SEKTA YA VIWANDA NA FURSA YA AJIRA

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, ameishukuru Sekta Binafsi kwa mchango wao mkubwa inaoitoa katika Sekta ya Uchumi wa Viwanda na Fursa za Ajira inazozitengeneza kupitia uwekezaji. Mavunde ameyasema hayo leo Agosti 31, kwenye uzinduzi wa muonekano mpya wa kinywaji kikali cha K-VANT katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam, ambapo ameipongeza kampuni ya Mega Beverages kwa kutoa fursa za ajira kwa wananchi zaidi ya 1000. Aidha, katika suala la uwekezaji Mavunde ameitaka kampuni hiyo (Mega Beverages), kuzalisha…

Soma Zaidi >>

RAIS TRUMP KUJIONDOA KATIKA SHIRIKA LA BIASHARA DUNIANI (WTO)

Washington, MAREKANI. Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuindoa nchi yake katika Shirika la Biashara Duniani (WTO), kama hakutakua na mabadiliko katika utendaji wa shirika hilo kwa Marekani. Rais Trump ametoa kauli hiyo alipokuwa akihojiwa na Jarida la Bloomberg, huku akibaini kwamba iwapo WTO halitajirekebisha hatosita kuiondoa nchi yake katika shirika hilo. Shirika hilo la Biashara Duniani lilianzishwa kwa ajili ya kusimamia sheria za biashara duniani na kutatua tofauti kati ya nchi. Hali hii inaonyesha kuwepo kwa mvutano katika Shirika hilo (WTO), kufuatia sera za kibiashara za Trump na mfumo…

Soma Zaidi >>