CAMEROON YAPOKONYWA NAFASI YA KUANDAA FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA.

Ramsi Shirikisho la mpira barani Afrika CAF imewapokonya nchi ya Cameroon nafasi ya kuandaa fainali za mataifa ya Afrika mapema mwakani.

Kamati ya CAF ilikutana na kujadili juu ya Taifa ya Cameroon kushindwa kupeleka mrejesho wa maandalizi mapema.

 

Hivyo CAF imetoa nafasi kwa nchi zilizo tayari kuaanda fainali hizo ,watume barua ya maombi mapema mwezi Disemba.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.