BREAKING NEWS:WATU MIA MOJA WASADIKIKA KUFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE

Nchini Algeria inasemekana watu wapatao mia moja(100), wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya kijeshi leo jumatano.

Taarifa Kutoka TSA, chombo cha habari nchini humo kimeripoti watu wapatao 105 wanahofiwa watakuwa wamekufa, kutokana na takwimu za muda zilizotolewa na shirika moja la kutoa za huduma za dharura kwa jamii.

Wizara ya ulinzi nchini humo imethibitisha kutokea ajali hiyo ijapo haikutaja kutoa vifo au uharibifu wowote.

Mjumbe wa chama cha tawala cha Algeria alisema hata hivyo waathirika wa ajali ya ndege walijumuisha wanachama 26 wa Kikundi cha Magharibi ya Sahara cha Polisario kinachozunguka nchini humo Kuzungumzia Amani nchini Algeria.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.