BREAKING NEWS:MAGARI MAWILI YAGONGANA BUKOBA,YASABABISHA VIFO

Ajali mbaya imetokea usiku huu katika manispaa ya Bukoba kata ya Hamugembe Mkoani kagera ikihusisha magari mawili Toyota hiace T-869 CHT na fuso T-223 ATK yamegongana na kusababisha moto kulipuka ambao umepelekea abiria waliokuwemo kwenye magari Hayo kuungua vibaya.


Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi amesema tayari wameokoa maiti nne kutoka kwenye ajali hiyo.

Matukio katika picha

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.