BENKI YA  KCB TANZANIA IMESHIRIKI ZOEZI LA UCHANGIAJI WA DAMU

 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

Na Mwaandishi Wetu.

Benki ya KCB leo tarehe 12/06/2017 imeshirikiana na mpango wa damu salama imeshiriki zoezi la uchangiaji damu, zoezi hili limeafanyika ikiwa ni siku chache kabla ya maadhimisho ya siku ya wachangiaji damu duniani.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mh. Ummy Mwalimu alihudhuria tukio hilo ambapo amewaasa wananchi kujitokeza kuchangia damu mara kwa mara.

 •  
 •  
 •  
 •  

Related posts

Leave a Comment