BASI LA NEW FORCE LATUMBUKIA MLIMA KITONGA.

 

 

Watu kadhaa wamenusurika kifo katika ajali iliyotokea hii leo katika mteremko wa Mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya basi la kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Dar es salaaam kugongana na gari nyingine linalodaiwa kuwa ni la kampuni ya Golden deer lilikuwa likitokea Dar kwenda Tunduma na kisha kuanguka chini ya mlima huo wenye mteremko mkali.

Kaimu kamanda wa Polisi wa mkoa wa Iringa , Deusdedit Kashindo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa taarifa za awali zinasema kuna majeruhi tu.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.