AZAM FC YAJIANDA KUIVA MBAO KIBABE.

 

Na Shabani Rapwi, Dar es Salaam.

Baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Stand United na Azam FC kuibuka na ushindi wa magoli 3-1.

Kikosi hiko cha Mabingwa wa Afrika na Kati, Azam FC jana Disemba 5 Usiku kimeanza mazoezi ya kujianda na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Tanzania (TPL) dhidi ya Mbao FC.

Mchezo huo unao tarajia kufanyika kesho Ijumaa kwenye dimba Azam Complex, Saa 1:00 Usiku.

Azam FC ambayo kwa sasa ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 36 baada ya kushinda mechi 11 na sara tatu ikiwa haijapoteza mchezo ata mmoja, huku Yanga wakiwa vinara mwa msimamo wa Ligi wakiwa na alama 38 wakizidi Azam kwa alama 2.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.