WAKULIMA WA KARANGA MAHENGE WILAYANI KILOLO WALIA NA SOKO

Wakulima wa zao la Karanga na mtama katika kata ya Mahenge wilayani Kilolo mkoa wa Iringa wameiomba serikali kusaidia kutafuta soko la mazao hayo. Wakulima hao walimweleza Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah wakati wa mkutano wa hadhara Jana kuwa wamekuwa wakirudishiwa karanga kutoka Dar es Salaam kwa madai soko hakuna. Shaban Omari alisema kuwa kutokana na kukosekana kwa soko la uhakika wakulima wa zao la Katanga na Mtama wameanza kuhofu kulima kilimo hicho hivyo kuomba serikali kuwatafutia wanunuzi wa uhakika . Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya…

Soma Zaidi >>

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO UDIWANI MWANGATA ,KIBABAJI AVURUGA CHADEMA IRINGA MJINI ,ASAS NA ARIF WASEMA KAZI IMEKWISHA

MBUNGE  wa  jimbo la  Mtera  Livingiston e  Lusinde  ari maarufu kibajaji  ambae ni  mjumbe wa  halmashauri kuu ya  CCM Taifa  (MNEC)  na kaimu mwenyekiti  chama   cha mapinduzi  (CCM ) mkoa wa  Iringa  Salim Asas ambae  ni MNEC  pia  wafunga  kampeni  za  udiwani kata ya  Mwangata  kwa  kishindo  huku  kikiwapokea  wanachama  na  viongozi mbali mbali  wa  chama  cha  demokrasia na maendeleo (Chadema )kata ya  Mwangata . Katika  mkutano  huo wa kufunga kampeni kata ya  Mwangata  jimbo la  Iringa  mjini vigogo  hao  wa NEC  Taifa  waliweza  kupokea  wanachama na  viongozi mbali  mbali …

Soma Zaidi >>

DC KILOLO ASIA ABDALLAH ATATUA MGOGORO WA UJENZI WA SEKONDARI YA KATA

Na  Francis Godwin Dar Mpya  Iringa MKUU  wa  wilaya ya  Kilolo  mkoani Iringa Asia Abdallah  amemaliza mgogoro  uliodumu kwa  miezi  zaidi ya  minne  juu ya eneo la  ujenzi wa shule ya  sekondari ya kata ya Mahenge  baada ya  kijiji  cha Mahenge  kugoma  kuungana na vijiji viwili  vya  Maganga na Irindi kujenga sekondari  moja  ya kata  na   kutaka  kujenga sekondari yake  ya  Kijiji  cha Mahenge pekee. Pamoja na  kumaliza kutatua  mgogoro  huo  mkuu  huyo wa  wilaya  ya  Kilolo  ametoa onyo kali kwa  viongozi  wanaotumia vikundi  vya  watu  kumchafua Rais Dkt …

Soma Zaidi >>

MKUU WA WILAYA YA KILOLO ASIA ABDALAH AWATAKA WAFUGAJI IRINDI KUJENGA NYUMBA BORA

  Na Francis Godwin ,Darmpya Iringa MKUU wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Asia Abdalah amewataka wafugaji jamii ya kimasai wakazi wa kijiji cha Irindi kuuza mifugo baadhi ili kujenga nyumba za kisasa. Akizungumza na wananchi hao wakati alipofika kutoa pole kwa msiba wa mwanakijiji mwenzao aliyeuwawa na Tembo ,Mkuu huyo wa wilaya alisema faida ya ufugaji ni pamoja na wafugaji hao kuwa na makazi bora na sio kuishi katika nyumba zisizo lingana na Mali walizo nazo. “Wengi wenu hapa mnaongoza kwa kuwa na ng’ombe nyingi zaidi ya 100 hadi…

Soma Zaidi >>

RC ALLY HAPI :MARUFUKU BODABODA NA BAJAJI KUNYANYASWA IRINGA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi amepiga marufuku kusikia vijana wa Boda Boda na bajaji katika mkoa huo kunyanyaswa na askari au Sumatra. Agizo hilo amelitoa leo wakati kikao chake  na viongozi wa bodaboda na bajaji mkoa wa Iringa . Kitika kikao hicho kilichoshirikisha viongozi wa jeshi la polisi ,maofisa wa Manispaa ,Sumatra na wakuu wa wilaya ya Iringa na Kilolo ,Mkuu huyo wa mkoa alisema ni wajibu wa viongozi wa serikali kusikiliza na kutatua kero za bajaji na bodaboda na sio viongozi kuwa kero kwa vijana hao. “Sitataka…

Soma Zaidi >>

MSANII MAGUMASHI ALIYEZUIWA NA MAREHEMU KING MAJUTO ASIUZE FIGO APATE PESA ,ATAKA STEVIN NYERERE ASITENGWE

Msanii Erasto  Kilowoko a.k.a Magumashi Msanii Erasto  Kilowoko a.k.a Magumashi  kushoto  akiwa na Dkt  Mduba  akiomboleza  msiba wa King Majuto  akiwa  Iringa. IKIWA leo  Rais  wa jamhuri ya  muungano wa Tanzania Dkt  John Magufuli amewaongoza  watanzania  katika kuaga  mwili  wa  msanii mkongwe na maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki Amri Athuman maarufu King  Majuto   ,msanii  wa   vichekesho  mkoani Iringa Erasto Kilowoko a.k.a Magumashi ambae  alikatazwa na marehemu  King Majuto  kuuza  figo  yake amlilia mzee Majuto na  kuomba   wasanii  wasimtenge mwenyekiti wa wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere  Nyerere…

Soma Zaidi >>

JESHI LA POLISI IRINGA LAKAMATA MALI ZA WIZI , WANANCHI WATAKIWA KWENDA KUTAMBUA WAKIWA NA RISITI

Kamanda  wa  polisi  mkoa  wa  Iringa Juma  Bwire  akitoa taarifa  kwa  wanahabari  juu ya mali za  wizi  zilizokamatwa  Kamanda  wa  polisi   mkoa wa Iringa  Juma Bwire  akionyesha  friji  moja  wapo  iliyoibwa kwa   kiongozi wa  serikali aliyehamia  mkoani hapa  hivi karibuni  hata  hivyo  hakumtaja  jina Kamanda Bwire  akionyesha  TV  na  Redio  za  wizi Kamanda  wa  polisi  mkoa wa Iringa  Juma  Bwire  akizungumza na  wanahabari  na  kuonyesha mali mbali mbali za  wizi Na Francis Godwin wa Dar Mpya  Iringa JESHI  la  polisi  mkoa  wa  Iringa  limekamata  mali  mbali mbali  za  wizi katika…

Soma Zaidi >>

MKUU WA MKOA WA IRINGA ALLY HAPI AWAPA WIKI MBILI MA DC IRINGA KUUNDA KAMATI ZA AMANI ….

Mkuu  wa  mkoa wa  Iringa Ally  Hapi  akizungumza na viongozi wa dini  mkoa wa Iringa  leo  wakati wa kikao  chake  cha kwanza na  viongozi hao  Askofu Dkt  Boazi  Sollo  akizungumza kwa  niaba ya  viongozi wa  dini leo mbele ya  mkuu wa  mkoa wa Iringa Viongozi wa dini  mkoa wa Iringa wakimsikiliza  mkuu wa  mkoa wa Iringa Wakuu wa wilaya  mkoa wa Iringa  wakimsikiliza kwa makini mkuu wa  mkoa Ally Hapi hayupo  pichani  leo Waziri  wa mambo ya  nje Dkt  Mahiga  kulia  akisalimiana na mkuu wa  mkoa wa Iringa Ally Hapi…

Soma Zaidi >>

RC IRINGA ALLI HAPI APIGA MARUFUKU VIONGOZI WA DINI KUCHELEWESHWA HUDUMA OFISI ZA UMMA

IKIWA ni siku moja toka akabidhiwe mkoa wa Iringa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa huo Amina Masenza ,Mkuu wa mkoa wa Iringa Alli Hapi apiga marufuku viongozi wa dini mkoani hapa kupanga foleni kusubiri huduma. Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo Leo wakati akizungumza na viongozi wa dini katika ukumbi wa katibu tawala mkoa. Alisema kazi kubwa wanayoifanya viongozi wa dini haipendezi wanapokwenda ofisi ya serikali wakacheleweshwa kwa kusubiri kusikilizwa shida zao kwa wakati . “Nakuagiza katibu tawala mkoa wa Iringa agizo hili lishuke hadi ngazi za chini watendaji wote…

Soma Zaidi >>

RC IRINGA ALLI HAPI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI

Mkuu wa mkoa wa Iringa Alli Hapi ametumia Siku yake ya pili toka kupokelewa mkoani hapa kukutana na viongozi wa dini mkoa wa Iringa. Mkuu wa mkoa mbali ya kukutana na viongozi hao wa dini pia katika kikao hicho ameongozana na katibu tawala wa mkoa wa Iringa Happines Seneca na wakuu wa wilaya ya Mufindi ,Kilolo na Iringa. Pamoja na viongozi hao pia Mkuu huyo wa mkoa na kamati yake ya ulinzi na usalama mkoa katika kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa katibu tawala mkoa amesema lengo lake ilikuwa Siku ya…

Soma Zaidi >>