SIMBA YATUA eSWATINI NA STAILI HII.

 

Na Shabani Rapwi, Dar es Salaam.

Kikosi cha klabu ya Simba SC jana Disemba 02, 2018 kimewasili mjini Mbabane, eSwatini.

Ambapo kikosi hiko kilisafiri jana majira ya saa 12 asubuhi kuelekea Johannesburg, Afrika Kusini kisha kiliunganisha moja kwa moja mpaka Manzini, eSwatini.

Mara baada ya kuwasili kikosi hiko cha klabu ya Simba jioni ya jana kilifanya mazoezi mepesi ya kujianda na mchezo huo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swallows utakao pigwa siku ya Jumanne Disemba 04, 2018.

Kwenye mchezo wa awali ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Simba ilipa ushindi wa magoli 4-1.

Related posts

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.