SIKU 7 SASA MWILI UPO MOCHWARI BILA KUTAMBULIWA NA NDUGU,JAMII YAASWA KUTEMBEA NA VITAMBULISHO

Amiry Kilagalila,Njombe. Serikali mkoani Njombe Imewataka watanzania kujenga mazoea ya kutembea na nyaraka zote muhimu za utambulisho wao pindi eanapokuwa safarini Ili kurahisisha mawasiliano wakati linapotokea jambo lolote linalohitaji mawasiliano ya dharura. Wito huo umetolewa na afisa ustawi wa jamii kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kibena mkoani Njombe bwana Samson Sollo Wakati akizungumza na vyombo vya habari juu Ya mkazi wa mmoja wa Songea Aliyefahamika Kwa majina ya George Lutuhi ambaye amefariki akiwa anapatiwa matibabu na hakuna ndugu aliyejitokeza hadi sasa. “Nauomba umma kuweza kutusaidia kuwapata ndugu wa marehemu George…

Soma Zaidi >>

DC RUANGWA AMTUMBUA AFISA MTENDAJI ALIYESEMA HAWEZI KUPANGIWA CHA KUFANYA NA SERIKALI.

Na Bakari Chijumba, Mtwara. Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Hashim Mgandilwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo,kumbadilishia majukumu ya kazi mtendaji wa kijiji cha mtimbo, Chande .N.Chande kwa kile kinachodaiwa mtendaji huyo amegoma kusimamia maendeleo kwenye serikali ya CCM kwa kuwa yeye yupo CUF. Mgandilwa Ametoa tamko hilo kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha mtimbo kilichopo kata ya Likunja wilayani Ruangwa, 06 Disemba 2018. Mkuu huyo wa wilaya ametoa agizo hilo, kutokana na malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa mtendaji huyo ni mtoro kazini na pia amedaiwa kukwamisha…

Soma Zaidi >>