ANSAF YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUWAINUA KIUCHUMI WAKULIMA.

  Dar es Salaam Jukwaa huru la wadau wa kilimo lisilo la kiserikali (ANSAF) leo imezindua mpango mkakati wa miaka mitano kuanzia mwaka 2018-2022 ambao umelenga kuwainua kiuchumi wakulima,wavuvi pamoja na wafugaji wadogo. Akizungumza wakati akizindua mpango huo, kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na uvuvi, Kaimu Meneja wa shirika la uvuvi Tanzania (TAFICO), Bi. Ester Mndeme, amesema kuwa, mkakati huo utachochea ukuaji wa sekta za uvuvi na ufugaji hali itakayoboresha uzalishaji na upatikanaji wa chakula cha uhakika. Amesema kuwa, ili kuweza kufikia uchumi wa kati na viwanda ni lazima…

Soma Zaidi >>

KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AKAGUA MIUNDOMBINU CHUO CHA MAFUNZO IHEMI.

  Iringa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mwl. Raymond Mwangwala leo ametembelea chuo cha mafunzo cha Ihemi kilichopo mkoani Iringa. Katibu mkuu wa UVCCM Taifa, ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa baadhi ya miundombinu ya chuo cha Mafunzo cha Ihemi Mkoani Iringa. kabla ya kuanza ukaguzi wa maendeleo ya ukarabati wa chuo hicho, Mwl. Raymond Mwangwala alikutana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Mhe. Richard Kasesela wakafanya mazungumzo pamoja na kupokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020. Siku ya kesho…

Soma Zaidi >>

ANSAF YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUWAINUA KIUCHUMI WAKULIMA

Dar es Salaam Jukwaa huru la wadau wa kilimo lisilo la kiserikali (ANSAF) leo imezindua mpango mkakati wa miaka mitano kuanzia mwaka 2018-2022 ambao umelenga kuwainua kiuchumi wakulima,wavuvi pamoja na wafugaji wadogo. Akizungumza wakati akizindua mpango huo, kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na uvuvi, Kaimu Meneja wa shirika la uvuvi Tanzania (TAFICO), Ester Mndeme, amesema kuwa, mkakati huo utachochea ukuaji wa sekta za uvuvi na ufugaji hali itakayoboresha uzalishaji na upatikanaji wa chakula cha uhakika. Amesema kuwa, ili kuweza kufikia uchumi wa kati na viwanda ni lazima kuwepo na…

Soma Zaidi >>

WAZIRI HASUNGA : KILIMO CHA TANZANIA BADO HAKINA TIJA

Dar es Salaam Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, amesema kilimo cha Tanzania kwa muda mrefu kimekua kilimo cha kujikimu ambacho hakina tija kwa wakulima na watanzania kwa ujumla, licha ya kuwa ndio sekta inayotoa ajira kubwa zaidi, ambapo zaidi asilimia 65 ya watanzania wanategemea kilimo. Kauli hiyo ameitoa mapema leo 26 November 2018, jijini Dar es Salaam, wakati akifungua warsha ya wadau wa kilimo kutoka mikoa mbalimbali Tanzania ambayo imeandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania (ACT). Hasunga, amewataka wakulima wanapozalisha, lazima waone wapi wanapeleka mazao yao, huku akisisitiza kwamba ni…

Soma Zaidi >>

ZITTO KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI DISEMBA 13

Dar es Salaam Kesi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe (Kesi ya Jinai Namba 327 ya Mwaka 2018) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitwa leo kwa ajili ya kutajwa. Upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika, ambapo kesi hiyo imepangwa kutajwa tena tarehe 13 Disemba 2018, ambapo Zitto atasomewa maelezo ya awali. Upande wa utetezi ambao leo umewakilishwa na jopo la mawakili Stephen Mwakibolwa, Peter Kibatala na Ally Zaidi haukuwa na pingamizi na tarehe iliyopangwa na Mahakama. Awali, Jumapili, oktoba 29, 2018,…

Soma Zaidi >>

WAZIRI MWAKYEMBE AWAKUMBUKA WASANII WA VICHEKESHO

Dar es Salaam Serikali imewakumbuka wasanii wa vichekesho nchini na kutoa fursa za wao kwenda kujifunza kwenye mataifa mbalimbali juu ya tasnia hiyo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, ameyasema hayo jana lipohudhuria tamasha la Cheka Bila Kikomo, ambapo amewahakikishia wasanii wa vichekesho kuwa serikali kupitia wizara yake ipo tayari kushirikiana nao kwa lolote na muda si mrefu baadhi yao watapata fursa ya kwenda China kujifunza zaidi. “Nataka niwahakikishie serikali ipo bega kwa bega na nyie na tumekuwa tukipata udhamini mbalimbali kwenye masuala ya sanaa na…

Soma Zaidi >>

VITUO VYA DAMU SALAMA VYATAKIWA KUBORESHA HUDUMA

Na WAMJW – Moshi, Kilimanjaro. Vituo vya ukusanyaji damu salama nchini vimetakiwa kuboresha huduma zaidi katika ukusanyaji wa damu na kuwa na benki ya damu itakayowasaidia wenye uhitaji muda wote bila kutegemea ndugu au jamaa wa mgonjwa kuchangia damu. Hayo yamesemwa jana November 25, na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile alipotembelea kituo cha ukusanyaji damu salama kanda ya kaskazini kinachohudumia mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara. “Tangia tumeanzisha mpango huu wa ukusanyaji wa damu salama mwaka 2004 ukuaji wake umekuwa ni…

Soma Zaidi >>

YANGA WAMEKUWA WA MOTO MNO

  Jana ligi kuu Tanzania Bara iliendelea kwa mchezo mmoja ulipigwa kwenye dimba la Kaitaba mkoani Kagera , mchezo uliomalizika kwa Yanga Kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji wao klabu ya Kagera Sugar . Ushindi wa jana wa Yanga unaifanya klabu ya Yanga kushinda michezo 10 kati ya 12 waliocheza msimu wa ligi Tanzania bara , wakiwa wamepata sare mara 2 ,bado hawajapoteza mchezo hata mmoja. Katika mchezo wa jana Yanga ndio walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia mshambuliaji wao mkongo H.Makambo kabla ya Mapumziko Kagera sugar walisawazisha ,kipindi cha pili…

Soma Zaidi >>

POLISI NCHINI KENYA YAMSAKA SILVIA ROMANO BAADA YA KUTEKWA

Nairobi,Kenya. Polisi nchini Kenya imetangaza zawadi nono ya dola za kimarekani milioni kumi sawa na fedha za kitanzania bilioni ishirini na tatu na nusu kama zawadi kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mfanyakazi wa misaada mwenye asilia ya Italia na kuwakamata wanaume watatu wanaoshukiwa kumteka jumanne iliyopita. Silvia Romano, mwenye umri wa miaka 23 alitekwa na watu wenye silaha akiwa katika hoteli ya mtaani katika kata ya Kilifi kusini-mashariki ya nchi hiyo. Watu watano, wakiwemo watoto watatu, walijeruhiwa katika shambulio hilo la kumteka Silvia na kupelekwa hospitalini kwa matibabu. Polisi imearifu kuwa…

Soma Zaidi >>

SHANTELL-03

Na Pastory Raymond Inaendelea…. Walikuwa wanaangaliana sasa. John Marwa alikuwa amemlanda mama yake sana. Alionekana kuathirika sana na maisha ya Ughaibuni na muonekano wake ulisadifu haya. “Oh I see her mum” Alimjibu mama yake Huku akiendelea kuchezea simu yake kana kwamba hakujali ujio wa mtu huyu aliyekuwa ameitwa ili aweze kutambulishwa. “Nyinyi wawili mtakuwa mkifanya kazi kwa pamoja and I have a lot of expectations na nyinyi! Sawa Shantell?!” “Nimekuelewa madam!” “John?!” “Whatever…” Huku akiendelea na simu yake. Shantell alitoka ofisini mule. Kichwani mawazo yamemjaa! Ataweza kufanya kazi na chekibobu…

Soma Zaidi >>