ANATAKA UMAARUFU KUPITIA MIMI WALA SIKUMBAKA: RONALDO

Na Jyross Curtis Mchezaji bora na ghari duniani katika dimbwi la soka, Cristiano Ronaldo, amekana madai ya mwanadada Kathryn Mayorga alietoa madai ya kubakwa na Ronaldo mnamo mwaka 2009 katika moja ya hoteli jijini Las Vegas, Marekani. Staa huyo wa kandanda alionekana katika video yake ya Instagram akikataa madai ya mwanamke huyo kwa kusema “Wanataka umaaruufu kupitia jina langu, ni kawaida yao”. Hata hivyo mawakili wa Ronaldo nao hawakupendezwa na taarifa hiyo iliyotolewa kupitia jarida la ujerumani la Der Spiegel na hivyo basi wameamua kulishitaki kwa kuripoti madai hayo ysiyo…

Soma Zaidi >>

KILAKALA ASHIRIKI BONANZA AZIMIO, ATILIA MKAZO MIKOPO YA ASILIMIA NNE KWA VIJANA.

  Temeke, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Mussa Kilakala ameshiriki mbio za pole (Jogging) katika Kata ya Azimio. Mbio hizo zilizoandaliwa na vijana wanaoishi katika Kata ya Azimio zimefanyika leo tarehe 30, Septemba 2018. Ambapo wamezunguka maeneo ya Kata hiyo. Akizungumza baada ya kumaliza mbio hizo za pole(Jogging) Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika mbio hizo Ndg. Mussa Kilakala aliwataka vijana hao kujishughulisha katika shughuli ndogondogo…

Soma Zaidi >>

DIWANI WA KATA YA MWANGATA KUJENGA CHUO KIKUU BINAFSI

  Na Francis Godwin, DIWANI wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya Mwangata katika Manispaa ya Iringa Nguvu Chengula anakusudia kujenga chuo kikuu binafsi katika eneo la Kitasengwa ili kuongeza idadi ya vyuo zaidi katika mkoa wa Iringa. Chengula ambae ni Diwani aliyechaguliwa hivi karibuni kwenye uchaguzi mdogo wa marudio, Aliyasema hayo jana wakati wa mahafali ya darasa la saba katika shule ya Sun Academy, kuwa ujenzi wa chuo hicho utapanua wigo zaidi ya elimu ndani ya Mkoa wa Iringa . Amesema serikali iliyopo madarakani imejipambanua kuwa ni serikali ya…

Soma Zaidi >>

POLISI YADAIWA KUUA TARIME

Tarime-Mara Maria Chacha mkazi wa gwitare Kata ya Nyamwaga mwenye umri wa miaka 30,anadaiwa kugongwa na gari la polisi kituo cha Nyamwaga na kufariki akiwa na mimba ya miezi 7. Jeshi la polisi wanadaiwa kumtelekeza mama huyo akiwa majeruhi,pasipo matibabu baada ya kumgonga na gari hali inayodaiwa kupelekea kifo chake. hata hivyo mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya , ndugu Hassan Maya amewasihi ndugu wa marehemu kumzika ndugu yao.

Soma Zaidi >>

MBUNGE MABULA NA TAASISI YA SOS WAKABIDHI MADAWATI SHULE YA MSINGI SHIGUNGA

Mwanza. Mbunge jimbo la Nyamagana Stanislaus Mabula amekabidhi madawati 100,katika shule ya msingi Shigunga kata ya Mhandu,msaada uliotolewa na wadau wa maendeleo taasisi ya SOS kutokana na shule hiyo kuwa na uhaba wa madawati 87. Msaada huo utasaidia wanafunzi wote 1257 kukaa kwenye madawati. “Leo kupitia wadau wa maendeleo SOS tumeleta Madawati 100 nami kupitia mfuko wa Jimbo nitawapatia shillingi 2,000,000 kwaajili ya ununuzi wa ‘photocopy machine”amesema Mabula. Hafla hiyo ya kukabidhi madawati, imefanyika katika ziara maalum ya mbunge wa jmbo la Nyamagana katika taasis ya SOS ambapo aliambatana na…

Soma Zaidi >>