DC ATOA AGIZO KWA WENYEVITI WA MTAA WILAYA YA ILALA NA WATENDAJI

Na Heri Shaban MKUU wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema ametoa agizo kwa Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa na Watendaji wote katika wilaya ya Ilala kuorodhesha majina ya Wageni wote wanaohamia katika mtaa kuweka daftari maalum la wageni . Mjema alitoa agizo hilo Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa Habari, wakati wa kutoa majumuisho ya ziara yake iliyomalizika Tarafa ya Ukonga. “Nawaagiza Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa na maofisa Watendaji kila mtu asimamie majukumu yake ikiwemo suala la ulinzi na usalama katika mtaa muhakikishe mna orodha ya watu…

Soma Zaidi >>

HAYA HAPA MAJINA YA WALIMU/AJIRA MPYA KWA WALIMU WA SAYANSI,LUGHA NA MAFUNDI SANIFU MWEZI AGOSTI 2018

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa Orodha ya majina ya Walimu/Ajira mpya kwa Walimu wa Sayansi, Lugha na Mafundi Sanifu mwezi Agosti 2018.   PAKUA MAJINA YOTE HAPA NA KUJUA KITUO ULICHOPANGIWA orodha-ya-walimu-wa-ajira-mpya-masomo-wa-sayansi-hisabati-lugha-literature-in-english-na-fundi-sanifu-maabara-wa-shule-za-sekondari-pdf-compressed   USISAHAU :Kushare Link ili Taarifa hii iwafikie Walimu Wote Waliotuma Maombi ya Ajira.

Soma Zaidi >>

KAMBI RASMI YA UPINZANI YAMPA POLE RAIS MAGUFULI KUFIWA NA DADA

Kiongozi wa Kambi Rasmi Upinzani Bungeni (KUB) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amemtumia salamu za rambirambi Rais Magufuli baada ya kufiwa na dada yake aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Mapema leo Jumatatu katika ukurasa wake wa Instagram Mh. Mbowe amempa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kwa niaba ya wanachama wote wa CHADEMA na Kambi ya Upinzani Bungeni. “Kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, na wana CHADEMA wote, natoa pole na salaam…

Soma Zaidi >>

IGUNGA:MWENYEKITI WA HALMASHAURI ATIWA MBARONI KWA AGIZO LA WAZIRI MKUU

Igunga, TABORA. Jeshi la polisi wilayani Igunga limemtia mbaroni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Ndugu Peter Onesmo, kwa amriwa ya Waziri Mkuu Mh. Kasimu Majaliwa, wakati wa ziara yake ya siku tatu mkoani Tabora. Onesmo na wenzake wanatuhumiwa kwa makosa ya ubadhirifu wa Fedha za mashine ya kukobolea Mpunga zaidi ya milioni 30 na upotevu wa Fedha za mrabaha zilizokusanywa kutokana na makinikia karibia Shilingi Milioni 141 mali ya kijiji cha Bulangamilwa. Agizo hilo la Waziri Mkuu lilitokana na kilio cha wananchi kupitia Mbunge wa Jimbo la Manonga…

Soma Zaidi >>

CUF WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS MAGUFULI KUFIWA NA DADA YAKE

Chama cha Wananchi (CUF) kinatoa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Joseph Magufuli kutokana kifo cha dada yake Monica Joseph ambae alilazwa Hospitali ya Rufaa Bugando . Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari kutoka kwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zainab Amiri Mndolwa, imesema chama hicho kinatambua maumivu ya kumpoteza mtu wa karibu katika familia na kwa hakika ni mtihani mzito. “Tunamuomba Mungu awepe moyo subira wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao bi Monica Joseph ambae…

Soma Zaidi >>

WAUGUZI 16 WA ICU WAPATA UJAUZITO KWA WAKATI MMOJA

Asilimia 10 ya wahudumu wa chumba cha uangalizi maalum katika hospitali ya Mesa, Arizona wameanza kugundua ongezeko la wingi wa wauguzi kuwa wajawazito. Katika mkutano wa habari,wanawake walitania kuwa lazima kutakuwa na kitu kilichosababisha hali hiyo au labda walikuwa mapumziko ya sherehe za noeli pamoja(christmas) Katika kundi hilo la wauguzi wajawazito ,wa kwanza anatarajiwa kujifungua mwezi septemba na wa mwisho mwezi januari. Rochelle Sherman ambaye ana mwezi mmoja tu aweze kujifungua amesema kuwa hawakuwa wamegundua kuwa wako wajawazito wangapi mpaka walipoanzisha kikundi katika mtandao wa kijamii wa facebook. Hata hivyo…

Soma Zaidi >>

NIGERIA : WATU KADHAA WAUWAWA KWA KUSHAMBULIWA NA BOKO HARAM

Watu wanaoshukiwa kuwa ni wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya kiislamu wamekivamia kijiji kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwaua watu kadhaa. Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu idadi ya vifo vya watu huko Mailari, katika jimbo la Borno. Kiongozi mmoja wa sungu sungu katika eneo hilo ametaja kuwa ni watu 6 waliouawa lakini jamaa mmoja aliyeponea shambulio hilo ametaja kuwa ni watu 19 waliouawa. Kundi la wanamgambo wenye itikadi kali za kiislamu Boko Haram limetekeleza mashambulio kadhaa katika jimbo hilo la Born, ambapo inadaiwa walivamia kijiji hicho saa mbili kabla…

Soma Zaidi >>

WAZIRI WA MASUALA YA WANAWAKE NEW ZEALAND ATUMIA BAISKELI KWENDA KUJIFUNGUA

Waziri wa masuala ya wanawake huko New Zealand Ameendesha baiskeli hadi hospitali kujifungua mtoto wake wa kwanza. Julie Genter kutoka chama cha kijani, Green party, amesema kuwa ametumia baiskeli kwenda hospital, kwakua hakukua na nafasi ya kutosha ndani ya gari, na kuamua kupiga, picha na mweza wake wakiwa katika safari hiyo na kuiweka katika akaunti yake ya Instagram. Mwezi juni mbunge Jacinda Ardern alikua wa pili kujifunglia katika sehemu ya kazi, wote yeye na Bi Genter walikua wakihudhuria Clinic pamoja katika hospitali ya umma huko mji Auckland. Bi Genter 38,…

Soma Zaidi >>