KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAUNGA MKONO TRUMP KUINGILIA DEMOKRASIA TANZANIA

  DAR ES SALAAM. Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimeunga mkono maombi ya Seneta wa New Jersey, Bob Menendez kwa Rais Donald Trump, kuteua balozi wa Taifa hilo nchini Tanzania ili kufanya jitihada za kushughulikia kupinga ukiukwaji na uvunjaji wa demokrasia nchini akidai hali ilivo hivi sasa ni ya kuhofia. Akiongea waandishi wa habari mkurugenzi wa kituo hicho, Anna Henga, leo Julai 23, amesema hali ya haki za binadamu nchini Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikiporomoka siku hadi siku na kutokana na baadhi…

Soma Zaidi >>

MAALIM SEIF AKUTANA NA JUMUIYA YA VIJANA CUF.

Katibu Mkuu Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif akiwa na Viongozi Wakuu wa Chama hicho kwa nyakati tofauti wamekutana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Vijana CUF (JUVICUF) Kanda ya Pemba, kwa lengo la kujadili na kubadilishana mawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaasisi kwa mustakabali wa JUVICUF na CUF kwa ujumla. Viongozi hao wa JUVICUF kutoka Kanda ya Pemba, wamekutana leo Julai 23, 2018, katika ofisi ya makao makuu ya Chama hicho Aidha, Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif amepongeza juhudi za JUVICUF katika kusimamia majukumu yao…

Soma Zaidi >>

DC KINONDONI AHAMISHIA OFISI KWA WANANCHI

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Ally Hapi ameambatana na wakuu wa idara mbalimbali kutoka ofisini kwake na kuanza nao ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa wilaya hiyo. Katika ziara hiyo iliyoanza leo katika kata ya Tandale ambapo mkuu huyo wa wilaya ameweza kusikiliza kero za wananchi waishio maeneo hayo,katika utangulizi wake alisema ni jukumu lake kuwasikiliza na kuzitatua kwani ndiyo jukumu ambalo rais kamuagiza kulifanya. Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Ally Hapi akiwa katika ziara yake kata ya Tandale. ‘’Nimejipanga na timu yangu kuanza…

Soma Zaidi >>

ZITTO KABWE:WATANZANIA MSIHADAIWE LEO HATUJAPOKEA GAWIO LA FAIDA

UJIJI, KIGOMA. Kiongozi wa Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amewasema serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Rais inafanya siasa juu ya gawio la faida ya mashirika ya umma, kuwataka Watanzania wasihadaiwe kwani leo hatuja pokei gawio. Kabwe ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini mkoani Kigoma, alianza kwa kuuliza kuwa “Kuna Gawio la Faida ya Mashirika ya Umma? Kwamba Mashirika ya umma nchini yanamkabidhi Rais cheki za magawio (dividends) ya faida zao ni ama Ofisi ya Rais inafanya Siasa au hawajui maana ya…

Soma Zaidi >>

RAIS MAGUFULI: DARAJA LA SELANDER LITAPUNGUZA FOLENI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa daraja jipya la Selander kutapunguza kero ya foleni kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema hayo leo  wakati wa zoezi la utiaji saini kati ya wakala wa barabara  Tanzania (TANROADS) na mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa daraja hilo kutoka nchini Korea. Rais Magufuli amemwomba mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa daraja hilo kuhakikisha anakamilisha ujenzi huo ndani ya wakati na mapema zaidi ili wana Dar es Salaam…

Soma Zaidi >>

RC IRINGA KUZINDUA UPIMAJI VVU KWA WANAUME ….

  KAMPENI  ya   upimaji  virusi  vya  UKIMWI  kwa wanaume  ijulikanayo kwa jina la Furaha yangu  pima jitambue ishi   kuzinduliwa  rasmi kesho  na  mkuu  wa mkoa wa  Iringa Amina Masenza. Aidha alisema k ampeni   hiyo  uzinduzi wake utafanyika kesho katika uwanja  wa  Mwembetogwa kampeni hii imepewa  jina la furaha yangu,pima ,  jitambue ,Ishi  .   “Kampeni ya kupima  VVU  na kuanza  kutumia tiba  ya ARV mapema tunaoma   wanaume  wote  kujitokeza  na  wananchi wengine wote “  alisema mkuu  wa  mkoa wa  Iringa Masenza. Alisema baada ya  wizara ya  afya maendeleo ya  jamii jinsia  ,wazee  na watoto kupitia  mpango  wa  kitaifa wa  kudhibiti  UKIMWI  kwa  kushirikiana na  TACAIDS na  wadau  wa  USAID  tulonge uzindua  kampeni ya  furaha  yangu  kitaifa Juni 6 mwaka  huu  jijini Dodoma  ofisi   mkoa  wa Iringa umepanga  kuzindua kampeni hiyo  ngazi ya  mkoa . “ Kampeni   hii inahamasisha   mkakati  mpya   wa serikali wa  uimaji  wa VVU kuanza  kutumia tiba za ARVS  mapema  kwa  wale watakaobainika  na maambukizi ya  VVU  kuwa  kupitia  kampeni   hiyo ujumbe wa  serikali  ni   kutambua hali ya  wananchi wake    juu ya VVU  kwani  huleta amani na  kuanzishiwa ARV kwa  wale  ambao watakutwa na  VVU kwa  ajili ya kusaidia…

Soma Zaidi >>

WAZIRI KANGI LUGOLA AMSWEKA NDANI ASKARI POLISI

  Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mh.Kangi Lugola Amemwagiza RPC arusha kumuweka Ndani askari polisi Arusha aliyeshindwa kujibu swali lake lililo hoji ni vitabu gani muhimu vinastahili kuwekwa katika kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa msaada wa huduma kwa raia. Hayo yamejiri leo akiwa katika ziara yake ya kikazi jijini Arusha ambapo askari huyo alishindwa hujibu swali hilo ndipo Waziri Lugola akamwagizia kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha Ramadhani Ng’anzi kumuweka ndani kwa masaa kadhaa. #DarmpyablogUpdates

Soma Zaidi >>

POLISI IRINGA WAZAWADIWA PIKIPIKI NA MFANYABIASHARA ABRI

Mmoja kati ya  askari  polisi  mkoani  Iringa  Bwana  Milanzi akiijaribu  pikipiki  waliopewa  na  kampuni ya  FM  Abri  Arif Abri  akiwa na  askari  polisi  wakati wa  kukabidhi  pikipiki  leo   Kamanda  wa  polisi  mkoa  wa  Iringa  Juma  Bwire  akimpongeza  mfanyabiashara  Arif  Abri  (kushoto )  kwa  msaada  wa  pikipiki  kwa  jeshi la  polisi Fa Arif Abri  na  Fahad  Abri  wakimsikiliza  kamanda wa  polisi  wakati  akishukuru  kwa  zawadi ya  pikipiki  Askari  polisi  akijiandaa  kuifanyia  majaribio  pikipiki   hiyo FAMILIA ya mfanyabiashara wa kampuni yaFM Abri imetoa zawadi ya Pikipiki kwa jeshi la polisi mkoa wa Iringa…

Soma Zaidi >>

MGOMBEA UDIWANI KATA YA TURWA TARIME APOKELEWA KWA SHANGWE, BAADA YA JINA KUREJESHWA UPYA NA NEC.

Na Frankius Cleophace Tarime. Mgombea udiwani kata ya Turwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Charles Mnanka amepokelewa kwa shangwe na wafuasi wa chama hicho baada ya jina lake kurejeshwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutokana na rufaa iliyokatwa na Chama hicho baada ya kuwekewa pingamizi na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kuwa alikosea kujaza fomu. Mgombea huyo aliwekewa Pingamizi na msimamizi msaidizi  wa uchaguzi kwa madai kuwa alikuwa na makosa mawili ambayo yalisababisha kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi na wenzake kutoka cha cha NCCR – Mageuzi na ACT Wazalendo.…

Soma Zaidi >>