LUGOLA AKABIDHIWA KIJITI NA MWIGULU

Waziri Mpya wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi Mhe.Kangi Lugola amekabidhiwa ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba katika Makao Makuu ya nchi Jijiji Dodoma leo Jumanne, Julai 10, 2018. Katika ukurasa wake wa Twiter, Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi ameandika; “Makabidhiano ya ofisi/kijiti hii leo Dodoma. Nimemtakia kila raheli Mh.Kangi Lugola katika utumishi wake kwa watanzania katika wizara hii.” Aidha Nchemba mara baada ya kuenguliwa nafasi hiyo alifika jimboni kwake na kuongea na wananchi wake akisema kuwa sasa…

Soma Zaidi >>

MACHAR AGEUKWA NA WAASI WAKE, WAKATAA MAKUBALIANO YALIYOFIKIWA KUMREJESHA KATIKA WADHIFA WAKE

JUBA. Nchini Sudan Kusini kikundi cha Waasi kinachomuunga mkono aliyekuwa Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Riek Machar leo kimeukataa mpango wa amani ulioafikiwa wa kumrejesha kiongozi wao huyo kwenye umakamu wa rais, wakisema makubaliano hayo hayajapunguza mamlaka makubwa aliyonayo rais wa nchi hiyo, Salva Kiir. Machar alikuwa makamu wa Kiir hadi mwaka 2013, wakati tofauti za kisiasa zilipochochea vita ambavyo vimesababisha maafa makubwa nchini humo kwa miaka mitano. Makubaliano ya kumrudishia Machar wadhifa wa makamu wa rais yaliafikiwa mjini Entebbe, Uganda, mwisho wa wiki iliyopita chini ya…

Soma Zaidi >>

THAILAND:WENGINE WANNE WAOKOLEWA KUTOKA KWENYE MAPANGO WALIYOKUWA WAMEKWAMA

Mshauri wa kamanda wa kikosi maalum cha waokoaji nchini Thailand amesema kuwa wavulana wengine wanne wametolewa nje ya pango hapo jana na hivyo kuifanya idadi ya waliookolewa kufikia vijana wanane. Magari manne maalum ya kuwahudumia wagonjwa yalionekana yakiondoka eneo la karibu na pango lililofurika maji ambapo wavulana wa timu ya kandanda wamekuwa wamekwama kwa zaidi ya wiki mbili, hali inayodokeza kuwa jumla ya watu wanane kati ya 13 waliokwama katika pango hilo sasa wametolewa. Hakuna taarifa rasmi kutoka serikalini kuhusu operesheni hiyo na hawajatoa taarifa kuhusu idadi ya wale ambao…

Soma Zaidi >>

IDADI YA VIFO KUTOKANA NA MAFURIKO YAONGEZEKA JAPAN

Nchini Japani idadi ya vifo kutokana na mafuriko imeongezeka mpaka kufikia 109. Watu wengine 80 bado hawajulikani walipo mpaka hivi sasa huku maelfu ya watu wakiwa wamelazimika kuyahama makazi yao. Haya mafuriko na maporomoko yametokea katika maeneo 19 tofauti nchini humo, na eneo hasa lililoathiriwa na mafuriko hayo ni eneo la Hiroshima . Waathirika wengine wameripotiwa katika maeneo ya Ehime, Okayama, Yamaguchi, Kyoto, Gifu, Shiga, Hyogo, Kochi na Fukuoka. Zoezi la uokoaji bado linaendelea katika ameneo hayo. Mamlaka imetangaza kuwa huenda idadi ya vifo ikaongezeka kutokana na kunaswa kwa baadhi…

Soma Zaidi >>

MJUMBE WA UN KUMALIZA MZOZO BAINA YA YEMEN NA SAUDI ARABIA

Huko mashariki ya mbali mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Yemen, Martin Griffiths anatarajiwa kufanya zaira rasmi nchini Saudi Arabia na Yemen kufuatia mzozo uliopo baina ya matafa hayo mawili. Griffiths Katika zaira yake hiyo, nchini Yemen anatarajiwa kukutana na Rais Abd Rabbo Mansour Hadi, baada ya kufanya mazungumzo na viongozi tofauti nchini Saudi Arabia. Baada ya ziara yake nchini Saudi Arabia, atajielekeza nchini Yemen ambapo pia anatarajiwa kukutana na viongozi tofauti wa taifa hilo. Saudi Arabia inaongoza jeshi la ushirika ambalo lilianzisha operesheni nchini Yemen mnamo…

Soma Zaidi >>

POLISI 06 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI TUNISIA

  Maafisa sita wa vikosi vya usalama wameuawa katika shambulizi la bomu kaskazini magharibi mwa Tunisia, shambulizi lililodaiwa kutekelezwa na kundi la Aqmi lenye mafungamano na Al Qaeda. Mazishi ya polisi hao yamefanyika hapo jan Jumatatu mapema asubuhi karibu na mji wa Tunis. Mashambulizi hayo, ambayo yamesababisha vifo vingi tangu miaka miwili iliyopita, wakati ambapo Tunisia inayokabiliwa na mgogoro wa kisiasa huku ikiwa n matumaini mazuri mwaka huu kwa kuwapokea watalii wengi baada ya kuboresha hali usalama. “Maafisa sita wa kikosi cha ulinzi wa Taifa waliuawa na watatu walijeruhiwa wakati…

Soma Zaidi >>

POLISI 06 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI LA BOMU HUKO TUNISIA

Maafisa sita wa vikosi vya usalama wameuawa katika shambulizi la bomu kaskazini magharibi mwa Tunisia, shambulizi lililodaiwa kutekelezwa na kundi la Aqmi lenye mafungamano na Al Qaeda. Mazishi ya polisi hao yamefanyika hapo jan Jumatatu mapema asubuhi karibu na mji wa Tunis. Mashambulizi hayo, ambayo yamesababisha vifo vingi tangu miaka miwili iliyopita, wakati ambapo Tunisia inayokabiliwa na mgogoro wa kisiasa huku ikiwa n matumaini mazuri mwaka huu kwa kuwapokea watalii wengi baada ya kuboresha hali usalama. “Maafisa sita wa kikosi cha ulinzi wa Taifa waliuawa na watatu walijeruhiwa wakati gari…

Soma Zaidi >>

BARAZA LA WALEI LATISHIA KUCHUKUA HATUA MPYA DHIDI YA SERIKALI

Kamati ya Baraza la Walei ya Kanisa katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, (CLC) imedai kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi CENI imekuwa ikishawishika na upande wa Rais Joseph Kabila kwa kuhakikisha mashine za kielektroliki zinatumiwa wakati wa uchaguzi mkuu wa desemba 23 mwaka huu nchini humo. Mbali na swala hilo, kamati hiyo imesema ina ushahidi tosha kuwa Rais Joseph Kabila yuko tayari kuwania muhula wa tatu kwenye uchaguzi huo, na hiyo ni kinyume cha sheria. Kufuatia hali hiyo, Kamati ya baraza la walei ya kanisa katoliki imeitisha mgomo…

Soma Zaidi >>

UINGEREZA HALI TETE, WAZIRI MWINGINE WA TATU AJIUZURU KUFUATIA SAKATA LA BREXIT

Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Uingereza Borris Johnson amejiuzulu. Boris amejiuzulu leo baada ya waziri aliyesimamia mchakato wa Uingereza kujitenga na Umoja wa Ulaya, David Davis, na naibu wake pia kujiuzulu. Mawaziri hao wamejiuzulu siku chache tu baada ya Waziri Mkuu Theresa May kutangaza kupata maridhiano na mawaziri wa serikali yake kuhusu mkakati wa kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Borris amesema Waziri Mkuu Theresa May amekubali kujiuzulu kwake na kwamba atakayechukua wadhifa wake atatangazwa hivi karibuni. Awali Bi Theresa May alisisitiza…

Soma Zaidi >>