MADRID WAJISAFISHA KWA MASHABIKI UHAMISHO WA RONALDO KWENDA JUVENTUS.

 Madrid,  Tetesi juu ya uhamisho wa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid Christain Ronaldo zikiwa zimepamba moto kwenda kujiunga na vibibi vya Torin ,Juventus klabu ya real Madrid  kupitia kwa rais wa klabu hiyoo bwana F.Perez amemwambia mshambuliji huyo , kwamba kama anataka kutimka  kunako klabu ya hiyoo na kujiunga na klabu mabingwa wa nchini Italia juventus basi anapaswa awaweke wazi mashabiki wa klabu hiyo kuwa yeye ndio anataka kuondoka wala sio matakwa ya klabu. Tayari Christian Ronaldo ameshamwambia raisi wa Madrid, Perez kwamba…

Soma Zaidi >>

CROATIA USO KWA USO NA UINGEREZA WAKATI UFARANSA WATAUMANA NA UBELGIJI KOMBE LA DUNIA NUSU FAINALI.

Urusi, fainali za kombe la dunia nchini Urusi zimefikia patamu, jumla ya michezo minne ya hatua ya robo fainali imekamilika huku robo fainali ya mwisho ilipigwa muda mchache uliopita kati ya wenyeji Urusi dhidi ya timu ya taifa ya Croatia , mchezo ulimalizika kwa sare pacha yaani 1-1 , ndani ya dakika 90, goli la mapema la kiungo wa Urusi, Denis Sheryshev na kabla mchezo haujaenda mapumziko Croatia walisawazisha kupitia kwa A. Kramaric dakika 90 .Ndani ya dakika 30 za nyongeza pia timu zilitoshana nguvu  kwa kumalizika kwa sare pacha…

Soma Zaidi >>

ZAIDI YA MAGARI 200 YAFANYIWA UKAGUZI ARUSHA

  Na Mariam Mallya Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanya ukaguzi wa mabasi yaendayo mikoani na malori ikiwa ni sehemu yakupunguza ajali za barabarani. Ili kuzuia hali hiyo jeshi la polisi mkoa wa Arusha likiongozwa na kamanda wa jeshi Ramadhani Ng’azi alie ambatana na mkuu wa kikosi cha usalama barabarani arusha leo alfajiri limefanya ukaguzi wa magari kwa lengo la kutoa elimu ili kuwa chachu ya kupunguza ajali. “Tumeweza kubaini baadhi ya madereva hawana leseni ama leseni zao walishapigwa faini bado hawajazilipia na pia Magari mabovu yote tumesitisha safari zao…

Soma Zaidi >>

MEDDIE KAGERE APONGEZA USHIRIKIANO WA WACHEZAJI WENZAKE MSIMBAZI

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba Meddie Kagere amewapongeza wachezaji wenzake katika kikosi cha klabu ya simba kwa kumuonyesha Ushirikiano mzuri pasipo kujali Kitu chochote Kagere ameeleza kwamba tangu aingie klabuni hapo amekuwa akijihisi kama yupo nyumbani kutokana na mapokezi mazuri aliyoyapata toka kwa Uongozi wa klabu , mashabiki na hata wachezaji wa klabu hiyo .” Nafurahishwa na maisha ya hapa , Wachezaji wanaonyesha morali kwangu na nashirikiana nao Vizuri sana .kagame Cup ni mashindano yangu yangu ya kwanza nikiwa na simba SC lakini Wachezaji wameonyesha Ushirikiano mkubwa kwangu. ” – Alisema…

Soma Zaidi >>

ACT WAZALENDO YATANGAZA MSIMAMO WAKE UCHAGUZI MDOGO UJAO

Chama cha ACT-wazalendo kimetangaza kushiriki Uchaguzi wa Marudio wa Kata 79 pamoja na uchaguzi katika Jimbo la Buyungu ambapo uchaguzi huo Utafanyika mwezi ujao. Pia Chama hicho kimetangaza kushirikiana na Vyama vya Upinzani katika marudio ya Uchaguzi ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam,na Makamu Mwenyekiti wa Chama chama hicho upande wa Bara,Shaaban Mambo wakati akisoma msimamo wa Kamati kuu ya chama hicho iliyokutana jana ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili jinsi ya kushiriki uchaguzi huo. Amesema Katika kamati hiyo viongozi wameamua kwa kauli moja…

Soma Zaidi >>

Tundu Lissu atoa ujumbe mzito kuhusu afya yake

Kupitia ukurasa wake wa mtandao, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye anapatiwa matibabu nchini Ubeligiji aliandika; “Wapendwa wangu natumaini wote hamjambo asubuhi hii (angalau kwangu ni saa 12 kasoro ya asubuhi). Nawaomba msamaha kwa kuwaweka roho juu jana halafu sikuonekana. Nilipata wageni na by the time nimemalizana nao muda ulishaenda sana. Naomba nianze kwa kuwapa briefing ya afya yangu. Wengi wenu mtakuwa mmeona video clips nikifanya mazoezi ya kutembea. Clip hizo zinaonyesha naendelea vizuri na ni kweli. Operesheni ya mwezi uliopita imepona, angalau kwenye muscles. Mfupa bado una kazi…

Soma Zaidi >>

Kangi Lugola alivyomzuia Kamishina wa Magereza kuingia kwenye mkutano wake

Kamishina wa Jeshi la Magereza, Dk Juma Malewa amezuiwa kuingia kwenye mkutano wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola baada ya kuchelewa kwa dakika mbili kuingia kwenye ukumbi ambako mkutano huo ulifanyika. Waziri huyo ambaye aliingia kwenye ukumbi majira ya saa 4:51 asubuhi ambapo mara baada ya kuingia aliagiza kwamba ikifika saa 5:00 mtu ambaye atakuwa hajaingia ukumbuni hataruhusiwa kuhudhulia kikao chake isipokuwa waandishi wa habari. Ilipofika saa 5:00 aliagiza mlango ufungwe na usifunguliwe kwa mtumishi yoyote wa wizara wala Kamanda yoyote kuingia labda awe mwanahabari. Ambapo…

Soma Zaidi >>